HAKIELIMU YAISHAURI SERIKALI IONGEZE BAJETI YA ELIMU HADI ASILIMIA 15
:::::::: Shirika la HakiElimu limeishauri Serikali kuongeza mgao wa bajeti kwa sekta ya elimu kutoka asilimia 12 ya bajeti ya mwaka 2024/25 hadi kufikia asilimia 15 katika Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2025/26 ili kukabiliana na changamoto zinazoikabili sekta hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa HakiElimu, Dkt. John…