UN inaonya juu ya ‘janga la njaa’ huko Gaza wakati Israeli inatangaza pause ya kibinadamu – maswala ya ulimwengu

Lakini wakati njaa inaimarisha mtego wake na “watoto wanakufa mbele ya macho yetu,” maafisa wa UN na wafanyikazi wa misaada wanaonya kwamba hatua hizo zinapungukiwa sana na ufikiaji wa misaada inayohitajika sana na ufikiaji wa misaada ambao unaweza kusaidia kusababisha janga la kibinadamu. “Karibu tangazo la pause ya kibinadamu huko Gaza ili kuruhusu misaada yetu…

Read More

Bajaji za umeme Sabasaba zilivyorahisisha usafiri

Dar es Salaam. Pikipiki za umeme za magurudumu matatu (bajaji) zilizoanza kutumika kwa mara ya kwanza katika Maonyesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (DITF), zimerahisisha usafiri kwa wageni na washiriki huku zikihamasisha matumizi ya nishati safi na kukuza utalii wa jiji. Tofauti na miaka iliyopita, wageni walitegemea huduma zisizo rasmi…

Read More

DKT. KIJAJI AKUTANA NA TAASISI ZA WIZARA YAKE.

………. Na Sixmund Begashe, Dodoma  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) leo tarehe 14 Januari, 2026 ameongoza kikao kazi cha kupitia taarifa za utekelezaji wa majukumu ya Taasisi za Wizara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 zitakazojadiliwa kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.  Kikao hicho kinafanyika Mtumba…

Read More

Mzee wa miaka 75 ajinyonga, aacha maswali

Rukwa. Mzee Jelas Lunguya mwenye umri wa (75) mkazi wa Kijiji Cha Nchenje kata ya Kate wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kujinyonga. ‎Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na afisa mtendaji wa kijiji cha Nchenje Salome Auseni amesema kuwa  tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Ijumaa ambapo mzee huyo alikutwa amefariki kwa kujining’iniza…

Read More

Venezuela inahitaji data zaidi ya ndani kuelewa athari za mabadiliko ya hali ya hewa – maswala ya ulimwengu

Alicia Villamizar anatoa matokeo ya ripoti ya pili ya kitaaluma juu ya mabadiliko ya hali ya hewa. Mikopo: Margaret López/IPS na Margaret López (Caracas) Jumatatu, Desemba 15, 2025 Huduma ya waandishi wa habari CARACAS, Desemba 15 (IPS) – Kundi la watafiti 55 walikusanyika na kuchambua marejeleo ya biblia 1,260 ya kukusanya ripoti ya pili ya…

Read More

Rais Mwinyi akutana na tume ya maboresho ya kodi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Zanzibar iliyofika kujitambulisha. Katika mazungumzo na Tume hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake, Balozi Ombeni Sefue na ujumbe wake, Rais Dk. Mwinyi wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo mapendekezo…

Read More

Mgombea wa CCM Mabibo atangaza neema lukuki

MGOMBEA Udiwani wa Kata ya Mabibo, wilayani Ubungo, jijini Dar es Salaam,  kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ashura Mohammed  Seg’ondo, amewataka wananchi katika kata hiyo kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 mwaka huu kumpigia kura Mgombea  Urais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan na yeye kwa nafasi ya udiwani  ili…

Read More