Tandika jamvi lako na mechi za UEFA leo

  Baada ya jana kushuhudia mechi za UEFA kuendelea, leo hii pia kuna mechi za pesa kibao zinazoenda kupigwa huku wewe ukiwa na nafasi ya kuibuka bingwa. Suka jamvi lako na Meridianbet sasa. Mapema kabisa vijana wa Unai Emery Aston Villa baada ya kupokea kichapo cha maana kwenye ligi, leo hii watakuwa ugenini kumenyana dhidi…

Read More

BVR Kits 6,000 kuboresha daftari la wapiga kura

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imekamilisha maandalizi muhimu kwa ajili ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni pamoja na ununuzi wa vifaa vya uandikishaji vinavyojumuisha BVR Kits 6,000. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam… (endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 10 Juni 2024 jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Uchaguzi…

Read More

Mshairi nguli Amiri Andanenga afariki dunia, azikwa

Dar es Salaam. Mwanasheria na mwandishi wa vitabu vya riwaya za fasihi za Kiswahili na Kiingereza, Charles Mroka amemuelezea hayati Amir Andanenga kama mtu aliyekuwa na kipaji cha kutunga mashairi. Andanenga aliyekuwa mwanafasihi nguli na mwasisi wa Chama cha Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (Ukuta) amefariki usiku wa kuamkia leo Mei Mosi, 2024, katika…

Read More

Samia aahidi upanuzi Barabara ya Kilwa hadi Mkuranga

Mkuranga. Ili kupunguza msongamano wa magari katika Barabara ya Kilwa (Kongowe hadi Mkuranga), mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuangalia uwezekano wa kufanya upanuzi wa barabara hiyo ili kuboresha usafiri na usafirishaji na kurahisisha shughuli za kiuchumi. Aidha, ameahidi akipewa ridhaa ya kuongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo miradi…

Read More

ZEC yapokea karatasi za kura, vyama vya siasa vyatoa kauli

Unguja. Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepokea rasmi karatasi za kura zilizochapishwa na Wakala wa Serikali wa Uchapaji Zanzibar (ZGP), ikiwa ni hatua muhimu katika maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Wakati karatasi hizo zikipokewa, wawakilishi wa vyama vya siasa wameoneshwa kuridhika na hatua hiyo huku wakipongeza ushirikishwaji unaofanywa na ZEC. Akizungumza wakati…

Read More

TASAC YAENDELEZA ELIMU KWA WAVUVI

Na Mwandishi Wetu, Geita Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeanzisha kampeni ya kutoa elimu ya usafiri salama wa majini katika Wilaya ya Chato mkoani Geita eneo ambalo limeendelea kuwa mfano wa kuigwa kwa kutokuripoti ajali za majini kwa muda mrefu. Akizungumza wakati wa utoaji wa elimu ya usafiri salama wa majini kwa Wavuvi…

Read More

Uuzaji ardhi kiholela chachu uvamizi wa maeneo

Unguja. Kuuziana maeneo bila kushirikisha viongozi wa shehia, kumetajwa kuongeza uvamizi katika maeneo yaliyotengwa na Serikali kwa ajili ya miradi ya jamii. Changamoto nyingine imetajwa kuwa licha ya maeneo ya wananchi kufanyiwa tathmini na kulipwa fidia wamegoma kuondoka. Miongoni mwa maeneo hayo ni Maungani, lililoko Mkoa wa Mjini Magharibi ambalo limetengwa kwa ajili ya kuchimba…

Read More

BODI YA KITAIFA YA USHAURI YA MSAADA WA KISHERIA YATEMBELEA WASAIDIZI WA KISHERIA IRINGA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Bi. Eveline Haule, Msaidizi wa Kisheria  kutoka shirikala Iringa Paralega Center akisoma taarifa ya utekelezaji Mbele ya Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria ilipofika katika ofisi zat zilizopo Iringa Mjini maeneo ya Mwembetogwaleo 24/10/2024. Na Lusajo Mwakabuku – WyKS Iringa   Bodi ya Kitaifa ya Ushauri ya Msaada wa Kisheria ikiwa katika…

Read More

Majiha katika nyakati za kudhihirisha umwamba wake

JULAI 20, mwaka huu bondia namba moja nchini ‘Tanzania One’ Fadhili Majiha maarufu Kiepe Nyani atapanda ulingoni kutetea Mkanda wa ubingwa wa Baraza la Ngumi Duniani kwa Tawi la Afrika ‘WBC Afrika’ ambalo limepangwa kufanyika katika Jiji la Mbeya. Majiha atapanda ulingoni kwenye pambano hilo dhidi ya Sabelo Ngebinyana wa Afrika Kusini katika pambano litakalokuwa…

Read More

Matarajio bajeti ya Zanzibar 2025/2026, ikiwasilishwa Baraza la Wawakilishi

Unguja. Wakati Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye makadirio yanayofikia Sh6.8 trilioni ikisomwa kesho, wananchi na wataalamu mbalimbali wameendelea kutoa maoni tofauti kuhusu vipaumbele vinavyopaswa kuzingatiwa. Bajeti hiyo ni ongezeko la asilimia 31 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka wa fedha uliopita wa 2024/2025 ya Sh5.182 trilioni, ambayo …

Read More