Mashauzi ampa mdogo wake saloon ya Milioni zaidi ya 50
Mwimbaji wa Taarabu Isha Mashauzi amemzawadia mdogo wake Saloon ya Milioni zaidi ya 50 baada ya mdogo wake huyo kuacha kufanya Muziki wa Taarabu aliokuwa akifanya na kujulikanika kwa jina la Saida Mashauzi Mashauzi amemkabidhi saloon hiyo siku ya leo na kusema amefanya hivyo baada ya mdogo wake kuacha muziki na kumrudia Mungu ndipo alipoamua…