Kigamboni waanza kuunganishwa huduma ya maji
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema kuwa Mamlaka imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso la kufanya maunganisho ya majisafi kwa wananchi wa maeneo ya Kigamboni kwa kutoa vifaa vya maunganisho ya majisafi. Amesema hayo wakati wa…