Sinwar anapaswa kusimamia amani ya Gaza – DW – 07.08.2024
Yahya Sinwar aliteuliwa siku ya Jumanne kuwa kiongozi mkuu wa kisiasa wa kundi la wanamgambo la Hamas. Sinwar anadaiwa kupanga shambulizi la Oktoba 7 lililofanyika Kusini mwa Israel na kuchochea mgogoro unaoendelea kati ya Israel na kundi hilo mjini Gaza. Sinwar amechukua nafasi ya Ismail Haniyeh aliyeuwawa Julai 31 mjini Tehran katika shambulizi linalodaiwa kufanywa…