CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo – Global Publishers Home Michezo CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo – Global Publishers Home Michezo CAFCL: Yanga Kutafuta Ushindi wa Kihistoria Ugenini kwa Al Ahly leo
Na Oscar Assenga, MKINGA WAZIRI wa Maji Jumaa Aweso amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa Maji Mkinga – Horohoro kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana kuukamilisha kwa wakati ili wananchi waweze kupata huduma ya maji safi na salama. Aweso aliyasema hayo leo wakati wa halfa ya Mapokezi ya Vitendea kazi (Mabomba) vitakavyotumika katika utekelezaji wa Mradi…
Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Dodoma, imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela, Sandu Nkingwa baada ya kumkuta na hatia ya mauaji ya bila kukusudia ya ndugu yake, Adam Nkingwa. Tukio hilo lilitokea Januari 3, 2024 katika Kijiji cha Mpugizi, Kata ya Mwaru, wilayani Ikungi mkoani Singida, wakati ndugu hao wawili wakicheza ngoma ya asili…
Mbeya. Wanawake wa Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, wanajishughulisha na kilimo cha mpunga wanakabiliwa na changamoto kubwa ya mfumo dume unaozua migogoro inayowasababishia vipigo na ukatili mwingine wa kijinsia. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Kata ya Igurusi, wilayani humo, Casmiri Pius, asilimia 75 hadi 80 ya wanawake wanajishughulisha na…
Binti mrembo cheupe, ambaye ukimwangalia unaweza kusema ni Mwarabu, anawavuruga wanaume kwa kuolewa na mume zaidi ya mmoja. Hili ni bomu mkononi…
KATIKA kuimarisha eneo la kiungo, Simba imeanza harakati mapema za kulijenga eneo hilo ambalo tayari kuna nyota wanne wameshaondoka baada ya msimu wa 2024-2025 kumalizika. Katika hilo, klabu hiyo haijakubali unyonge, kwani mabosi wa Simba wako kwenye mazungumzo na Stade Malien ya Mali, ikimtaka Lassine Kouma. Kouma ambaye anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, Simba inapambana…
Mbunge wa Jimbo la Mlimba Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro Godwin Kunambi ameishauri serikali ya Wilaya hiyo kutoa ajira za mikataba ya muda Kwa wafanyakazi wa kada ya afya Ili kukabiliana na Changamoto hiyo. Mhe. Kunambi ameyasema hayo wakati wa mahafali ya Tano ya Chuo Cha Afya na sayansi Shirikishi Mlimba ambapo amesema njia pekee…
BENCHI la ufundi la Kagera Sugar limepanga kuanza mapema maandalizi ya duru la pili la Ligi Kuu Bara wiki ijayo baada ya kuwapa mapumziko ya wiki tatu wachezaji, huku ikielezwa tatizo la ufungaji mabao ndilo lilicholisukuma benchi hilo kuiwahisha timu kambini. Kagera inayoshika nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu yenye timu 16, ikiwa…
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania June 12, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 12, 2024 first appeared on Millard Ayo.
WAZIRI wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameipongeza Bodi ya Korosho kwa hatua ya kimkakati ya kuwakomboa wakulima kiuchumi njiani Mtwara kwa kuanza ujenzi wa Kongani ya Viwanda vya Kubangua Korosho. Amezitoa pongezi hizo wakati wa ziara yake ya ukaguzi wa ujenzi huo tarehe 1 Oktoba 2024 ambapo Bw. Francis Alfred, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi…