TLS yatakiwa kusimamia haki na Amani kuchochea Maendeleo
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mawakili kusimamia Haki na Amani nchini ili kuhakikisha haki inatendeka kwa watu wote ili kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko ametoa wito huo wakati akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kufungua Mkutano Mkuu…