
Gamondi ataka miezi sita tu Singida BS
KOCHA Mkuu wa Singida Black Stars, Miguel Gamondi amesema ushindi dhidi ya KMC katika mechi ya Ligi Kuu Bara sio wa bahati mbaya, huku akiweka wazi ubora wa wachezaji alionao ndio siri ya mafanikio licha ya kukaa pamoja kwa muda mfupi, akisisitiza anataka apewe miezi sita tu. Gamondi amefunguka hayo baada ya Singida kuifunga KMC…