
Sekta ya madini ikipaa uharibifu wa mazingira, migogoro inatia doa
Dar es Salaam. Sekta ya madini imeendelea kuwa mhimili muhimu wa uchumi huku ikichangia asilimia 10.1 ya Pato la Taifa mwaka 2024 kutoka asilimia 9.1 mwaka 2023. Hilo linashuhudiwa kupitia mauzo ya madini nje ya nchi yaliyofikia Dola bilioni 4.1 za Marekani huku dhahabu pekee ikiliingizia Taifa zaidi ya Dola bilioni 3.4 za Marekani. Mbali…