JKT TZ yaendelea rekodi mbovu
KIPIGO cha mabao 5-0, ilichokipata JKT Tanzania juzi kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, kimeifanya timu hiyo ya maafande kuandika rekodi mbili mbovu. Mabao hayo ya Yanga, yalifungwa na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ dakika ya 7, Laurindo Dilson Maria ‘Depu’ dakika ya…