Meridianbet yaadhimisha Siku ya Kupinga Ukatili kwa Wanawake leo

  Leo hii tarehe 25 Novemba Meridianbet inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake Kupitia Kampeni yao ya “PINGA UKATILI, SIMAMA NA MWANAMKE” Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet, imeungana na dunia nzima kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili Dhidi ya Wanawake, inayofanyika kila mwaka tarehe 25 Novemba ambapo katika kuadhimisha siku…

Read More

Maonyesho ya historia ya Tanzania yazinduliwa Berlin – DW – 03.12.2024

Tanzania na Ujerumani zimekuwa na historia kubwa inayoanzia enzi za ukoloni wakati ilipokuwa sehemu ya koloni la wajerumani na kufahamika kama “Ujerumani ya Afrika Mashariki.” Historia hiyo hata hivyo imejaa machungu kutokana na alama ya ukoloni iliyoachwa na Wajerumani waliowakandamiza wenyeji na kuwatesa wakati wa utawala wao. Soma pia: Ujerumani yawaomba radhi Watanzania kwa madhila ya…

Read More

Buku Moja Tuu, Yamfanya Derick Bingwa

MERIDIANBET imepata bingwa mkali kabisa wa kubashiri ambapo mshindi huyo ameweza kujishindia Zaidi ya Milioni 5 kwenye mechi zake ambazo ameweza kubashiri. ODDS za kibabe zipo hapa. Mshindi huyo anafahamika kwa jina la Derick Ikula ameweza kujishindi Milioni 5 na zaidi ndani ya Meridianbet kwa dau la elfu moja pekee. Kijana huyu amefurahia sana ushindi…

Read More

Hii hapa tofauti ya Dube, Baleke

WATAALAM wa soka nchini, wamechambua uchezaji wa mastraika wa Yanga, Jean Baleke na Prince Dube, ubora na upungufu walionao, ikitegemea zaidi Kocha Miguel Gamondi anataka nini kutoka kwao, ili kuwatumia kwa mechi tofauti. Nyota hao wamesajiliwa msimu huu kuiongezea nguvu safu ya ushambuliaji ya timu hiyo yenye Clement Mzize na Kennedy Musonda na bado hawajapata…

Read More

ALIYEKUWA MGOMBEA URAIS TLS AKATAA MATOKEO YA UCHAGUZI, ADAI UVUNJIFU WA KANUNI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika hali isiyotarajiwa, Sweetbert Nkuba, aliyekuwa mgombea wa urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), amekataa matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza mpinzani wake wa karibu, Mwabukusi, kuwa mshindi. Nkuba, ambaye alipoteza kwa zaidi ya kura 400 katika uchaguzi uliofanyika jana, anadai kuwa mchakato huo ulijawa na ukiukwaji mkubwa wa kanuni. Akizungumza na waandishi wa habari baada…

Read More

Samia amthibitisha Lwamo Tume ya Madini

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi viongozi mbalimbali akiwemo Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Ramadhan Lwamo. Uteuzi wa Lwamo umekuja ikiwa ni takribani miezi saba baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo akichukua nafasi ya Yahaya Samamba aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini. Mbali na…

Read More