Shindano la Mabingwa Expanse kukupa mamilioni Sikukuu hii

Najua unafikiria namna gani unaweza kupiga mkwanja mrefu na kuifanya sikukuu yako kua nzuri na ya kibabe, Sasa kupitia shindano la michezo ya Expanse kasino unaweza kushinda kitita cha kutosha. Meridianbet wamekuja na shindano la michuano ya kasino inayofahamika kama shindano la mabingwa ambapo mshindi ataondoka na kitita cha milioni moja taslimu, Shindano hili la…

Read More

Ludewa wapata ‘ambulance’ pikipiki kuboresha afya

Njombe. Wananchi wilayani Ludewa mkoani hapa wameishukuru Serikali kwa kuendelea kuboreshea huduma bora za matibabu na kunusuru maisha yao, baada ya kukabidhiwa vyombo vya usafiri ikiwemo pikipiki mbili na gari moja la kubebea wagonjwa. Wakizungumza wakati wa makabidhiano hayo leo Desemba 29, 2024 wananchi hao wamesema msaada huo utawaondolea changamoto kubwa iliyowakabili wanawake wajawazito na…

Read More

Askofu Shoo ajitosa sakata la mauaji kada Chadema, CCT yalaani

Moshi. Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa  na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia inaundwa na makanisa mbalimbali wanachama na vyama vya Kikristo au…

Read More

TANFOAM MARATHON ZAFANA ARUSHA – MICHUZI BLOG

Na Pamela Mollel,Arusha Riadha za TanFOAM Arusha zimetajwa kuwa kivutio kikubwa hususani kwa wakazi na Wageni mbalimbali waliopo katika jiji la Arusha Pia mbio hizo zinatajwa kuwa za kipekee kutokana na ubora wa maandalizi mazuri zikiwemo zawadi nono kwa washindi ambazo ni fedha pamoja na magodoro Aidha katika mbio hizo wanariadhaJoseph Panga na Hamoida Nassoro…

Read More

KATAMBI ASISITIZA UELEDI KWA MADEREVA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Patrobas Katambi akizungumza katika kongamano la Kitaifa la madereva wa malori na mabasi na masafa marefu na kati ambalo limefanyika Leo Tar 21/6/2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es salaam  Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi,…

Read More