Irene Uwoya: Mwanzo, mwisho kumrudia Mungu
MARA kadhaa Mwanaspoti limekuwa likimtafuta mwigizaji mkongwe wa Bongo Movie, Irene Uwoya ili afunguke kuhusu maisha yake mapya baada ya kuokoka, aliyopitia na sababu kubwa iliyomfanya amrudie Mungu. Kama yalivyo maisha mengine ya wanadamu, haikosi misukosuko, hofu, ndoto za kutisha na hatimaye kupata maono na kuamua kuokoka. Irene anafunguka mengi na aliwahi kusema ipo siku…