Nusu fainali DBL ni kuviziana, Kurasini Heat yashtuka mapema
LIGI ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) inazidi kunoga ikiwa ni hatua ya nusu fainali na timu zinacheza michezo mitatu ‘best of three pray off’ kujitafutia nafasi ya kutinga fainali, kwenye Uwanja wa Donbosco Oyster Bay, Upanga, jijini Dar es Salaa. Mchezo wa JKT dhidi ya Pazi ulishuhudiwa wapinzania hao wakigawana ushindi katika michezo miwili…