TMA YAWAKUMBUSHA WAHANDISI KUZINGATIA HUDUMA ZA HALI YA HEWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI.

WAHANDISI nchini wamekumbushwa umuhimu wa huduma za hali ya hewa sambamba na kuchangia gharama za upatikanaji wa huduma hiyo katika utekelezaji wa miradi yao. Mkurugenzi wa Huduma za Utabiri, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Hamza Kabelwa amesema hayo hivi karibuni katika mada iliyowasilishwa kwenye Mkutano wa 21 wa Wahandisi uliyojumuisha wahandisi wa…

Read More

Dr Mwinyi ahimiza Malezi bora katika Jamii

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj. Dk. Hussein Ali Mwinyi amehiwahimiza Wazazi na Walezi kuhakikisha wanasimamia malezi bora yenye maadili kwa watoto na vijana ili kunusuru taifa kuwa na mporomoko wa maadili. Alhaj. Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo 26 Julai 2024 wakati alipojumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika ibada ya…

Read More

Mkataba wa Tanesco, Songas watakiwa bungeni

WAKATI mkataba wa Ununuzi wa Umeme kati ya Shirika la Umeme nchini (TANESCO) na Kampuni ya kuzalisha umeme -SONGAS ukitarajiwa kufikia ukomo tarehe 31 Julai, 2024, wabunge wameitaka Serikali kuwasilisha bungeni nyongeza ya mkataba huo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea).  Hayo yamebainishwa leo Jumatatu bungeni jijini Dodoma na Mbunge wa Viti Maalum, Jesca Kishoa ambaye…

Read More

Ahueni wakulima Kishapu wakikabidhiwa matrekta

Shinyanga.  Wakulima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekabidhiwa matrekta yenye thamani ya Sh238.4 milioni ili kuondokana na matumizi ya jembe la mkono na kuongeza uzalishaji kupitia kilimo na kukuza uchumi wao na taifa kwa ujumla. Akikabidhi matrekta hayo Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Peter Masindi leo Septemba 26, 2025 amesema hatua hiyo ni chachu ya kuwaletea…

Read More

Mnyika: Kukamatwa Heche ni njama dhidi ya viongozi wa Chadema

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, John Heche, amekamatwa leo asubuhi akiwa anaingia katika viunga vya  Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam. Heche amekamatwa leo Jumatano, Oktoba 22, 2025  nje ya Mahakama hiyo, wakati akijiandaa kwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho,…

Read More

Simulizi ya Mzee Kombo aliyeongoza vuguvugu la Mapinduzi

Unguja. Mapinduzi ya Zanzibar yalifanikishwa na watu wachache waliokuwa mstari wa mbele katika kupigania haki za Wazanzibari. Mmoja wa watu hao ni Kombo Mzee Kombo (89), aliyeongoza vuguvugu la Mapinduzi mwaka 1964. Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea Januari 12, 1964, lengo ni kuondoa utawala wa kidhalimu, uliokuwa na ubaguzi wa rangi, ukabila, ubaguzi wa elimu, afya…

Read More