Aweso Aitaka Sekta ya Maji Kunufaika na Utafiti wa Chuo cha Maji
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amezitaka taasisi za Sekta ya Maji kukitumia Chuo cha Maji katika kupata majibu changamoto zinazojitokeza katika huduma ya maji nchini. Aweso amesema hayo katika mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji jijini Dar es salaam ambapo wahitimu 684 wamehitimu. Amesema Chuo cha Maji moja ya lengo lake ni…