Mazungumzo ya Sudan ya vita na mafuriko yanawaacha watu wamenaswa, wasiweze kukimbia – Masuala ya Ulimwenguni

Ili kutoa msaada wa kuokoa maisha kwa wale waliolazimishwa kutoka Sudan, Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Wakimbizi (UNHCR), ilirekebisha rufaa yake ya awali ya $1.4 bilioni hadi $1.5 bilioni. Ewan Watson, Mkuu wa Mawasiliano ya Kimataifa katika shirika la Umoja wa Mataifa, alisema kuwa ufadhili huo utasaidia na kulinda hadi watu…

Read More

Serikali yakusanya mabilioni biashara ya mtandao

Dodoma. Kwa kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025, Serikali imekusanya kiasi cha Sh192.78 bilioni kutoka kwenye biashara mtandao ambayo inajumuisha michezo ya kubahatisha  ya mtandaoni. Takwimu hizo zimetolewa leo Jumanne Aprili 29, 2025 na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Exaud Kigahe ambaye ameliambia Bunge Serikali inatambua biashara mtandao. Kigahe alikuwa akijibu swali la…

Read More

Lusajo: Safari hii, hatutawaangusha | Mwanaspoti

NAHODHA wa Azam FC, Lusajo Mwaikenda amesema wanajua wana kazi kubwa ya kufanya msimu huu kuhakikisha wanafikia malengo, huku akimtaja kocha Florent Ibenge ni wa viwango na hawapaswi kumuangusha. Mwaikenda aliyemaliza msimu uliopita na mabao saba na asisti tatu, aliliambia Mwanaspoti, wachezaji wapo tayari kwa ushindani na kila mmoja anajua kazi kubwa iliyopo mbele yao….

Read More

Mugango, Sirari kuanza kufurahi huduma kifedha

Musoma. Benki ya CRDB imefungua matawi mawili mapya mkoani Mara, Mugango (Musoma Vijijini) na Sirari (Tarime), ikiwa ni sehemu ya jitihada za kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kaulimbiu ya ‘ulipo, tupo’. Ofisa Mkuu wa Biashara wa CRDB, Boma Raballa amesema matawi hayo yameanzishwa kutokana na mahitaji makubwa ya huduma za kifedha katika shughuli za…

Read More

Straika Yanga atimkia Zesco | Mwanaspoti

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga Princess, Mary Mbewe amejiunga na ZESCO Ndola Girls inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Zambia. Mbewe ambaye aliachana na Yanga msimu uliopita baada ya mkataba wake wa miezi sita kumalizika, ametua klabuni hapo kama mchezaji huru akiwa pia anaitumikia timu ya taifa ya Zambia. Nyota huyo akiwa nahodha wa kikosi hicho…

Read More