Ligi Kuu 2025/26: Rekodi hizi zinasubiriwa kuvunjwa
WAKATI ukitafakari hilo juu ya mechi ya Ngao ya Jamii iliyopigwa jana, Azam kuna kocha Florent Ibenge na Singida Black Stars yupo Miguel Gamondi. Je wataweza kupindua utawala wa Simba na Yanga. Hao ni makocha wa daraja la juu na wapo kwenye timu zenye wachezaji bora kama ilivyo kwa Simba na Yanga. Hapo ndipo pale…