
Dkt. Mwinyi: CCM ni Mhimili wa Amani na Maendeleo
MGOMBEA wa kiti cha Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduz (CCM), Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewataka Wazanzibari kuendelea kukiunga mkono chama hicho akisisitiza kuwa ndicho mhimili wa amani ya Tanzania ikiwemo Zanzibar. Katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo tarehe 17 Septemba 2025 katika Uwanja wa Kajengwa, Makunduchi, mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri…