Ceasiaa yaigomea Yanga Princess | Mwanaspoti

WAKATI Ceasiaa Queens ikitema na kuingiza nyota wapya 10 wakiwamo watano wa kimataifa, kocha mkuu wa timu hiyo, Noah Kanyanga amethibitisha kugomea ofa aliyoletewa na Yanga Princess akidai haikumshawishi. Walioongezwa ni straika Tantine Mushiya (DR Congo), mabeki Lukiya Namubiru, Tukamuhebwa Recho na Dorcus Nabuufu na winga Halima Nanteze wote kutoka Uganda. Wengine walioongezwa ni wazawa…

Read More

Netanyahu aelekeza ‘kichapo’ zaidi kwa Hezbollah

Siku moja baada ya kuambiwa asitishe vita huko Lebanon, Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameliambia jeshi lake kuendelea kupigana kwa “nguvu” yake yote kusambaratisha kile alichoita ni ugaidi. Inaripoti Mitandao wa Kimataifa, Tel Aviv, Israel. Amejibu pendekezo la kusitisha mapigano lililotolewa na washirika 12 wa kimataifa, ofisi ya Netanyahu inasema: “Taarifa kuhusu kusitisha mapigano…

Read More

Heineken yashiriki mapambano dhidi ya uharibifu wa mazingira

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Heineken Tanzania kwa kushirikiana Lead Foundation wameanza mkakakati wa kukabiliana na uharibifu wa mazingira na kuoambana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuoanda miti ili kurejesha misitu mkoani Dodoma. Lengo la ushirikiano huo ni kufanya mipango endelevu ya kurejesha misitu iliyoharibiwa na kulinda mazingira. Akizungumza na waandishi wa habari hivi karibuni,…

Read More

Mkakati mkubwa wa teknolojia ya kifedha, kuimarisha uwezo wa biashara za wasambazaji wa ndani na wajasiriamali wazinduliwa

Katika mkakati unaolenga kuleta mabadiliko kwenye sekta ya biashara, na kuendeleza upatikanaji wa huduma za kifedha nchini Tanzania kwa ufanisi zaidi benki ya Stanbic Tanzania inashirikiana na Ramani, kampuni namba moja kwenye teknolojia ya kifedha, malengo yakiwa kutumia teknolojia na msaada kubwa ya kifedha, kuimarisha uwezo wa biashara za wasambazaji wa ndani na wajasiriamali. Muunganiko…

Read More

JKU yaitupa nje Singida Black Stars Muungano Cup

JKU kutoka kisiwani Unguja, imefuzu nusu fainali ya Kombe la Muungano baada ya kuifunga Singida Black Stars ya Tanzania Bara kwa penalti 6-5 katika mchezo wa robo fainali ya kwanza uliochezwa leo Aprili 24, 2025 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba. Katika muda wa dakika tisini, timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2, huku Singida Black…

Read More

AKILI ZA KIJIWENI: Geita nayo imeshuka na uwanja wake

MSIMU wa 2020/2021, Gwambina FC ya Mwanza ilishuka daraja ikiwa ndio kwanza imeshiriki Ligi Kuu kwa msimu mmoja baada ya kumaliza ikiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi iliyokuwa na timu 18. Kulikuwa na matumaini makubwa kwa timu hiyo ambayo maskani yake ilikuwa kule Misungwi, Mwanza angalau ingedumu Ligi Kuu kwa misimu kadhaa lakini…

Read More