UNDP na CRDB kuwaonyesha njia wajasiriamali wa Tanzania katika soko la Afrika

Dar es Salaam. Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation wamezindua mwongozo rahisi kwa wajasiriamali wachanga, wadogo na wa kati (MSMEs), ukiwalenga kuongeza ushiriki wao katika Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA). Mpango huo unalenga kuwawezesha MSMEs kwa kuwapatia nyenzo muhimu na maarifa yatakayowasaidia kupanua biashara zao…

Read More

Vita ya ubingwa, Fadlu aishtukia Yanga

SIMBA inashuka uwanjani ugenini Jumatano hii dhidi ya Namungo kwenye mchezo mgumu wa Ligi Kuu Bara lakini Kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids kuna ishu kaishitukia kuhusu watani wao wa jadi, Yanga. Simba ipo nafasi ya pili na pointi 47 ambazo ni tano nyuma ya vinara Yanga ambao wamecheza michezo miwili zaidi, inaingia uwanjani wa…

Read More

600 wafanyiwa upasuaji mtoto wa jicho

Unguja. Wagonjwa 15,115 wamepatiwa matibabu katika Hospitali ya Kikosi cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM), kati ya hao 600 wamefanyiwa upasuaji wa macho, ikiwamo utoaji wa mtoto wa jicho. Matibabu hayo yalifanyika katika kambi ya wiki moja iliyofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Dk Hussein Khamis Othman, amesema hayo leo Jumanne Februari 18, 2025 aliposoma risala ya…

Read More