$1.4 bilioni zinahitajika kwa ajili ya huduma za afya ya ngono na uzazi katika nchi zilizokumbwa na matatizo – Masuala ya Ulimwenguni

Ufadhili huo utatumika kutoa huduma za afya ya uzazi zinazookoa maisha na programu muhimu za kuzuia unyanyasaji wa kijinsia kwa zaidi ya watu milioni 45. Rufaa hiyo inakuja kwani inakadiriwa kuwa wanawake wajawazito milioni 11 watahitaji usaidizi wa haraka mnamo 2025. Rekodi uhamisho na uharibifu UNFPA alikumbuka kuwa machafuko ya kimataifa yaliondoa rekodi ya watu…

Read More

Mbivu, mbichi dhamana ya Kombo wa Chadema leo

Tanga. Mahakama ya Wilaya ya Tanga leo Alhamisi, Agosti 22, 2024 inatarajiwa kutoa uamuzi wa zuio la dhamana ya mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Tanga, Kombo Mbwana. Kombo ambaye awali aliripotiwa kupotea kabla ya Jeshi la Polisi Tanga, kutangaza kumshikilia siku 29 baadaye, anakabiliwa na kesi ya jinai mahakamani hapo akidaiwa…

Read More

Jaji Mkuu afungua milango maboresho ya sheria, sera

Dodoma. Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju ametoa wito kwa Watanzania wote kutoa maoni yao kuhusu maboresho ya sheria na sera, ili kuchochea utawala wa sheria, kukuza demokrasia na kuimarisha ustawi wa wananchi. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa mjadala wa kitaifa kuhusu maboresho ya sheria na sera, Jaji Masaju amesisitiza kuwa majadiliano yako…

Read More

Mapilato wa Simba, Yanga CAF hawa hapa

YANGA inatarajiwa kushuka uwanjani jioni ya leo ikiwa ugenini DR Congo kuumana na TP Mazembe, huku Shirikisho la Soka Afrika (CAF) likiwapangia mwamuzi kutoka Benin, Djindo Louis Houngnandande kulihukumu, huku refa kutoka Madagascar, Andoftra Revolla Rakotojuana amepewa ya Simba na CS Sfaxien. Yanga na Mazembe zinavaana katika pambano la Ligi ya Mabingwa Afrika zikiwa Kundi…

Read More

Balozi Nchimbi aonya maofisa utumishi kuacha uonevu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Wataalam wa Rasilimali Watu na Utawala Duniani, leo Jumatatu mkoani Morogoro, Balozi…

Read More

Lissu akwama hatua ya kwanza pingamizi kesi ya uhaini

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekwama katika hatua ya kwanza ya kujinasua katika kesi ya uhaini inayomkabili, baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam, kutupilia mbali sababu yake moja ya pingamizi lake. Lissu anakabiliwa na shtaka la uhaini, kinyume na kifungu cha 39(2)(d) cha Sheria…

Read More