Wadaiwa sugu bodi ya mikopo kusakwa zipatikane Sh bilioni 200

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) imezindua kampeni inayolenga kuwasaka wadaiwa ambao hawajalipa mikopo yao tangu walipohitimu masomo. Kampeni hiyo ijulikanayo kama ‘Fichua’ itaendeshwa kwa miezi miwili ikilenga kukusanya zaidi ya Sh bilioni 200 kutoka kwa wadaiwa zaidi ya 50,000. Akizungumza leo Juni 28,2024 wakati wa uzinduzi wa…

Read More

Sababu zitakazombeba sababu ya Profesa Janabi kushinda WHO

Dodoma. Serikali imeainisha sababu zinazomfanya Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi, kuwa na uwezo wa kushinda katika uchaguzi wa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kanda ya Afrika. Nafasi ya Mkurugenzi wa WHO Kanda ya Afrika iliachwa wazi na Dk Faustine Ndugulile, ambaye alifariki dunia Novemba 27, 2024,…

Read More

Kamati Kuu Chadema yakutana katikati ya joto la uchaguzi

Dar es Salaam. Kamati Kuu cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekutana leo katika kipindi ambacho kuna joto la uchaguzi wa viongozi wa kitaifa ndani ya chama hicho, jambo ambalo linaonekana kuwagawa wanachama wake. Kikao hicho cha Kamati Kuu kimefanyika Desemba 14, 2024 jijini Dar es Salaam kikiongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe. Ajenda kuu…

Read More

Wakulima Rombo waomba Serikali kudhibiti pembejeo duni

Rombo. Wakulima wa kahawa katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali kuchukua hatua madhubuti kudhibiti uuzwaji wa pembejeo duni, wakisema hali hiyo imekuwa kikwazo kwa juhudi zao za kukabiliana na magonjwa ya mimea, hususan kutu ya majani. Wamesema magonjwa hayo yanapunguza uzalishaji kwa kiasi kikubwa na kuwaathiri kiuchumi, kwani kahawa ni zao tegemeo kwa…

Read More

Hitilafu ya mtandao yaripotiwa maeneo kadhaa duniani – DW – 19.07.2024

Hitilafu kubwa ya mifumo ya kompyuta na kukatika kwa mtandao imeshuhudiwa mapema hii katika maeneo mbalimbali duniani, shughuli mbalimbali ikiwemo usafiri wa anga, mawasiliano ya simu na hata matangazo ya televisheni kuanzia Australia, Marekani hadi Ulaya yameathirika. Makampuni makubwa ya ndege kuu za Marekani kama Delta, United na American Airlines yamesimamisha safari zote za ndege…

Read More

Ulega amweka kitimoto mkandarasi wa barabara Pangani

Tanga. Mkandarasi anayetekeleza sehemu ya tatu ya barabara ya Tungamaa – Mkwaja – Mkange, Pangani, Tanga yenye urefu wa kilomita 95.2, amejikuta katika wakati mgumu mbele ya Waziri wa Ujenzi, Abdalla Ulega alipomtaka aeleze sababu za kusuasua kwa ujenzi huo. Hata hivyo, katika utetezi wake kwenye utekelezaji wa mradi wenye thamani ya Sh111.55 bilioni, mkandarasi…

Read More

Nandy na Diamond kuwania Tuzo za AEAUSA

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Msanii maarufu wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Faustina Mfinanga, anayefahamika zaidi kwa jina la Nandy, ametajwa kuwania tuzo ya Msanii Bora wa Kike (Best Female Artist) kwenye tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA). Katika kipengele hiki, Nandy atachuana na mastaa wakubwa wa muziki barani Afrika kama Yemi Alade, Tiwa…

Read More