Singida BS yapeta CAF ikiitandika Rayon Sports

WANA fainali ya Kombe la FA msimu uliopita, Singida Black Stars, imefuzu hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuitandika Rayon Sports ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-1. Ushindi huo umetokana na leo Singida Black Stars kushinda mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam ikiwa ni…

Read More

Simba Queens yaongeza kipa Mkenya

SIMBA Queens imeanza mazungumzo ya kumpata kipa Wilfred Seda ukiwa ni ingizo la pili kwenye dirisha hili la usajili. Mabingwa hao watetezi hadi sasa wamesajili kiungo Zawadi Khamis akitokea Fountain Gate Princess alipotoka Seda. Mmoja wa viongozi wa Simba (jina tunalo) aliliambia Mwanaspoti wanaangalia uwezekano wa kumpata kipa huyo baada ya Carolyne Rufaa kukaa nje…

Read More

Mashambulio ya Drone ya Urusi kwa watu wa Ukrainians ni sawa na uhalifu dhidi ya ubinadamu, Ripoti ya Wachunguzi wa UN – Maswala ya Ulimwenguni

“Vikosi vya Silaha vya Urusi vimefanya uhalifu dhidi ya ubinadamu wa mauaji na uhalifu wa kivita wa kushambulia raia, kupitia a Mfano wa miezi mirefu ya mashambulio ya drone yanayolenga raia kwenye benki ya kulia ya Mto wa Dnipro katika Mkoa wa Kherson, ” Tume ya Uhuru ya Kimataifa ya Uchunguzi Kwenye Ukraine Alisema. Mashambulio…

Read More

Ujumbe wa Mbowe kuelekea uchaguzi wa Bavicha, Bazecha

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amewapongeza wagombea wote wanaoshiriki uchaguzi wa ndani wa chama hicho, huku akiwakumbusha mambo matatu ikiwemo kuilinda taasisi yao. Mbowe amechapisha ujumbe huo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii leo Jumatatu, Januari 13, 2025 kuelekea uchaguzi wa mabaraza ya vijana (Bavicha) na wazee (Bazecha), ambayo uchaguzi wake…

Read More

Ihefu, Dodoma vita ya kanda ya kati

KANDA ya Kati kutakuwa na vita ya kipekee. Ihefu itakuwa nyumbani uwanja wa Liti kuikaribisha Dodoma Jiji. Katika mechi hiyo itakayoanza saa 10:00 jioni itakuwa na vita ya kikanda kwani Ihefu kwa sasa maskani yake yapo Singida jirani na Dodoma iliyo makao makuu ya nchi hivyo kila timu itakuwa ikisaka heshima na ubabe katika soka…

Read More

TANZANIA, MAREKANI WASHIRIKIANA KUPAMBANA DHIDI YA UGONJWA WA SARATANI – MWANAHARAKATI MZALENDO

Tanzania na Marekani wamekubaliana kukabiliana na uhaba wa wataalamu, ukosefu wa miundombinu wezeshi, Vifaa Tiba hususani vya kutoa huduma za Mionzi, Takwimu, Tafiti pamoja na Ubunifu ili kuwezesha wananchi wa Afrika kupata huduma bora za Saratani bila kikwazo. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo katika kikao kilichofanyika Ikulu ya Marekani (White House)…

Read More

Yanga kikitoka chuma, kinashuka chuma zaidi

Yanga wana msemo wao mmoja maridadi sana ‘Daima Mbele Nyuma Mwiko’, yaani hawana nafasi ya kujuta na wako tayari kuchukua maamuzi yoyote magumu na baada ya hapo hawaangalii nyuma. Msemo wao huu kuna namna umekuwa ukiwaheshimisha katika misimamo yao katika mambo mbalimbali ndani ya klabu yao na kama hujajua wanamaanisha nini, cheki haya mambo sita…

Read More

Mbio za mIta 3000 kiunzi kirefu miaka 45

MBIO za mita 3000 kuruka viunzi na maji (steeplechase) zimekuwa ni mtihani usio na majibu kwa miaka 45 sasa tangu Filbert Bayi azitumie kuipatia Tanzania medali ya fedha katika michuano ya Olimpiki ya Moscow, Urusi mwaka 1980. Tangu Bayi aishindie Tanzania moja ya medali mbili za pekee za Olimpiki, hakukuwapo na harakati zozote za wanariadha…

Read More