Bendera zilizoinuliwa huko Doha wakati viongozi wanakusanyika kwa Mkutano wa Maendeleo ya Jamii wa UN – Maswala ya Ulimwenguni

Sherehe hiyo iliashiria dhana rasmi ya Umoja wa Mataifa ya Kituo cha Mkutano wa Kitaifa wa Qatar (QNCC) kama ukumbi ambao viongozi wa ulimwengu watafanya kazi ili kurekebisha tena mpango wa kijamii wa ulimwengu. Hafla hiyo fupi lakini ya mfano, iliyofanyika katika Kituo cha Mkutano wa Sprawling, ilihudhuriwa na maafisa wakuu kutoka Qatar na Umoja…

Read More

Historia mpya, washtakiwa 30 wakiri makosa ya ugaidi

Dar es Salaam. Linaweza kuwa moja ya matukio nadra kutokea katika usikilizwaji wa kesi, baada ya washtakiwa wote 30 kukiri makosa kadhaa ya ugaidi na kuhukumiwa kifungo cha miaka sita jela, baada ya kusota gerezani kwa miaka 10. Uamuzi wa washtakiwa kukiri makosa ya ugaidi unaingia katika matukio yaliyovunja rekodi katika haki jinai, hasa ikizingatiwa…

Read More

Mkali wa mabao Namungo bado kidogo

STRAIKA Joshua Ibrahim aliyejiunga na Namungo katika dirisha dogo Januari, mwaka huu kutokea KenGold, kwa sasa imebaki yeye tu kusaini mkataba mpya kuendelea kuitumikia timu hiyo, baada ya mabosi kumuwekea mezani mkataba wa miaka miwili. Mabosi wa Namungo wameamua kumpa mkataba huo kutokana na kuridhishwa na kiwango bora alichoonyesha kikosini. Nyota huyo alijiunga na Namungo…

Read More

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi sita

Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan jana Jumatano Septemba 25, 2024 amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi sita. Taarifa za uteuzi huo zimetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Moses Kusiluka, walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL); ii. Balozi Aziz Mlima…

Read More

Madhara ya kubana haja ndogo muda mrefu

Dar es Salaam. Je, una tabia ya kubana mkojo kwa muda mrefu yani kuanzia saa tatu na kuendelea? Unajua ni kwa namna gani tabia hiyo ni hatarishi kwa afya yako na mfumo wa utoaji takamwili kwa ujumla? Baadhi ya watu hubana mkojo kwa muda mrefu kutokana na sababu mbalimbali,  ikiwemo kutokuwa katika mazingira rafiki ya…

Read More

TIA YAPONGEZWA ELIMU KWA VITENDO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Jenifa Christian Omolo, akimkabidhi cheti cha pongezi kwa kufanya vizuri katika masomo yake ya Rasilimali Watu, Bi. Naf-hat fahmi Hamed, wakati wa Mahafali ya 22 ya Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika Kampasi ya Dar es Salaam Viwanja vya Kurasini ambayo ni Makao Makuu ya Taasisi hiyo.  …

Read More

FCT YAELIMISHA WADAU KUHUSU HUDUMA NA MAJUKUMU YAKE

BARAZA la Ushindani (FCT) jana Desemba 18, 2025, limeendesha semina ya elimu kwa wadau mkoani Mbeya kwa lengo la kuongeza uelewa kuhusu majukumu na huduma zinazotolewa na Baraza hilo. Semina hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kufunguliwa na Katibu Tawala Msaidizi – Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mkoa wa…

Read More