Upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe katika ubongo kwa mara ya kwanza wafanyika Hospitali ya rufaa ya kanda Chato
Madaktari Bingwa na Bingwa Bobezi wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu kutoka taasisi ya tiba ya magonjwa ya mifupa na ubongo muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na madaktari na wataalamu wenzao wa hospitali ya rufaa ya kanda chato (czrh) kwa mara ya kwanza wamefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa uvimbe kwenye ubongo (Brain Tumor) kwa…