Mashambulizi Israel yaua 85 Gaza, Ulaya yailima vikwazo
Khan Younis. Mashambulizi yaliyofanywa na vikosi vya Jeshi la Israel (IDF) yamesababisha vifo vya watu zaidi ya 85 eneo la ukanda wa Gaza katika kipindi cha saa 24 zilizopita. Shirika la Habari la Associated Press limeripoti leo Jumtano Mei 21, 2025, kuwa mashambulizi hayo yamefanyika maeneo mbalimbali ukanda wa Gaza. Kwa mujibu wa Wizara ya…