Pacha waliotenganishwa kwa saa 16 Saudi Arabia warejea nchini
Dar es Salaam. “Ni siku ya furaha kwangu,” ni kauli ya Hadija Shaban mama wa pacha wawili walioungana baada ya kurejea nchini kutoka Saudi Arabia akiwa na watoto wake waliopata tiba ya kutenganishwa. Watoto hao Hussein na Hassan walipelekwa Saudi Arabia, Agosti mwaka jana na kufanyiwa upasuaji Oktoba, 2023 wa kutenganisha maeneo ya tumbo, kibofu,…