TAWA YANADI FURSA ZA UWEKEZAJI MAONESHO YA 48 YA KIMATAIFA ALMAARUFU SABASABA 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Na Beatus Maganja, Dar es Salaam.   MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inatumia maonesho ya 48 ya kimataifa ya kibiashara yanayoendelea Jijini Dar es Salaam kuhamasisha Umma wa watanzania wawekezaji na wageni kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo inayoyasimamia huku ikijinasibu kuwa na fursa lukuki za uwekezaji.   Akiongea na wageni waliotembelea banda…

Read More

Viongozi wa dini Kenya waonya juu ya kutekwa nyara vijana – DW – 01.07.2024

Haya yanajiri baada ya ripoti zilizotolewa kuonesha zaidi ya vijana 34 hawajulikani walipo. Viongozi wa kidini kutoka mjini Mombasa nchini Kenya wamekosoa vitendo vya mauaji na uharibifu wa mali wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha yaliyofanyika alhamisi wiki iliyopita. Kundi la mashirika yanayopigania mageuzi katika kikosi cha polisi limetoa ripoti inayoonesha watu  34 walitekwa nyara…

Read More

Mjadala wa viboko kwa wanafunzi, suluhu hii hapa

Katika gazeti hili toleo la tarehe 5/3/2025 kulikuwa na kichwa cha habari: “Mwanafunzi afariki dunia kwa kipigo.”  Halafu katika tolea la tarehe 6/3/2025, mhariri akaandika maoni ya gazeti  kwa kichwa cha habari kisemacho: “Viboko hadi kifo vikomeshwe shuleni.”  Nampongeza mhariri kwa maoni hayo mazuri. Na kesho yake tarehe 7/3/2025 tukaona tena habari hii: “Sababu mwili…

Read More

RC Kunenge Aridhishwa na Jitihada Nishati Safi Mkoani Pwani, Aipongeza Taifa Gas.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bw Abubakar Kunenge, ameonyesha kuridhishwa na jitihada zinazofanywa na wadau mbalimbali mkoani humo ikiwemo kampuni ya Taifa Gas katika kufanikisha kampeni ya mabadiliko kuelekea matumizi ya nishati safi ya kupikia miongoni mwa makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo taasisi za elimu na wafanyabiashara wa vyakula. Akizungumza wakati wa kikao cha Kamati…

Read More

DEBLINKZ WAMEKUJA TENA NA BABY NA FIRE

DEBLINKZ ni wasanii wawili walioamua kuungana pamoja na kutengeneza kundi la muziki kutoka nchini Nigeria wakiwa wanafahamika kwa majina halisi kama Onyekachi na Onyebuchi Ikeh kutoka jimbo la Anambra, wawili hao wakubwa wa Kiafrika walianza safari yao ya kikazi mwaka wa 2006.  Wakianzisha lebo yao wenyewe, C-unit Management, ambayo zamani ilijulikana kama DEBLINKZ, wawili hao…

Read More

Baresi awakingia kifua mastaa Mashujaa

BAADA ya vipigo viwili mfululizo, Kocha wa Mashujaa FC, Abdallah Mohamed ‘Bares’ amewakingia kifua wachezaji wake, uchovu ndiyo sababu ya kushindwa kuendana na kasi ya ushindani kutokana na kucheza mechi mfululizo. Mashujaa imepoteza mbele ya Simba bao 1-0 nyumbani na imekubali kipigo cha pili dhidi ya Tabora United ugenini ikilala bao 1-0. Akizungumza na Mwanaspoti,…

Read More