
SUMAJKT yaajiri vijana 16,000 kwenye ulinzi
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Zaidi ya vijana 16,000 wamepata ajira ya ulinzi katika Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMAJKT) na kujikwamua kiuchumi. Akizungumza Julai 3,2024 kwenye Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), Mkuu wa JKT, Meja Jenerali Rajabu Mabele, amesema fursa hiyo ya ajira imewawezesha vijana hao kujikimu…