SWAHILI PLUS KUWANYANYUA WASANII WACHANGA BONGOMUVI

WASANII Washauriwa kutengeneza kazi zenye maudhui ya kiasili na kutumia lugha ya Kiswahili fasaha ili kuendelea Kutangaza lugha hiyo Kimataifa na kuvitangaza vivutio vilivyopo Tanzania zaidi. Akizungumza na wadau wa sanaa nchini wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya “Kamatia Furushi” pamoja na chaneli mpya yenye maudhui ya Filamu,katuni kwa watoto “Swahili plus” ,St Toons,St Toonie,St…

Read More

Watoto wanavyoweza kuwa pambo la nyumba

Methali ya Kiswahili isemayo “Watoto pambo la nyumba, wathaminiwe” ni methali yenye maana kubwa sana katika maisha ya familia na jamii. Methali hii inatufundisha kuwa watoto si tu sehemu ya familia, bali ni rundo la furaha, matumaini, na urithi wa kizazi kijacho.  Wakati watoto wanapopatiwa upendo, heshima, na malezi bora, wanakuwa chanzo cha mshikamano na…

Read More

Njia nane za kumrudi mwenza akikosea

Katika uhusiano wa kimapenzi au ndoa, changamoto na migogoro ni mambo ya kawaida.  Binadamu wote huwa na makosa, na mara nyingine mmoja kati ya wenza anaweza kufanya jambo lisilompendeza mwenzake.  Katika hali kama hizi, baadhi ya watu huamua kutumia adhabu kama njia ya kumkanya mwenza wake ili kuepuka kurudia makosa hayo. Hata hivyo, suala hili…

Read More

Watumishi wawili TRA Mwanza, wafariki ajalini Geita

Geita. Watumishi wawili wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), mkoani Mwanza wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka boda ya Mtukula iliyopo mkoani Kagera kwenda Mwanza, kuacha njia na kupinduka katika eneo la Bwawani Mji mdogo wa Katoro wilayani Geita. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na…

Read More

Mke wa Tory Lanez awasilisha maombi ya talaka

Moja ya taarifa iliyoshangaza ambao bado ni mashabiki wa lanez ni baada ya mkewe Raina Nancy Chassagne kuomba talaka kutoka kwa Tory Lanez, ambaye jina lake halisi ni Daystar Shemuel Shua Peterson, takriban mwaka mmoja baada ya kufunga pingu za maisha. Kulingana na hati za korti zilizopatikana na People mnamo Jumatatu, Juni 10, mke wa…

Read More

Mjumbe wa juu wa UN anataka Israeli kumaliza mgomo mbaya, njaa ya raia – maswala ya ulimwengu

Sigrid Kaag, mratibu wa mpito wa UN kwa mchakato wa amani wa Mashariki ya Kati, alisema kwamba shida iliyotengenezwa na mwanadamu huko Gaza imeingiza raia kuwa “kuzimu.” “Tangu kuanguka kwa kusitisha mapigano mnamo Machi, Raia wamekuwa chini ya moto kila wakati, wamefungwa kwa nafasi za kila wakati, na kunyimwa misaada ya kuokoa maisha“Alisema. “Israeli lazima…

Read More