Zaidi ya asilimia 70 wafanyakazi Muhimbili ni wanawake
Dar es Salaam. Zaidi ya asilimia 70 ya wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili ni wanawake, hatua inayodhihirisha nafasi kubwa waliyonayo katika utoaji wa huduma za afya nchini. Takwimu hii ina ujumbe mpana kwa Tanzania siyo tu kwenye afya, bali maendeleo ya Taifa kwa ujumla, ikionyesha wazi kuwa wanawake ndio uti wa mgongo wa sekta…