Getrude Mongella awaasa vijana walioutupa maadili, uzalendo
Dar es Salaam. Ili kuenzi kazi aliyoifanya muasisi wa Taifa la Tanganyika na Zanzibar, Hayati Mwalimu Julius Nyerere imeshauriwa kiandikwe kitabu, kitakachokuwa na mwongozo kwa vijana kujua misingi ya uzalendo kwa nchi yao. Hayo yamesemwa na Rais wa kwanza wa Bunge la Afrika na mwanaharakati wa haki za wanawake nchini, Balozi Getrude Mongella leo Agosti…