Mbinu shirikishi zatolewa kuinua ufaulu wa somo la hisabati
Dar es Salaam. Wadau wa elimu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili mbinu za kuboresha ufundishaji na ujifunzaji wa somo la hisabati, wakilenga kuwasaidia wanafunzi kulipenda na kufanya vizuri zaidi. Mjadala huo uliandaliwa na Taasisi ya Maendeleo ya Elimu Afrika Mashariki ya Chuo Kikuu cha Aga Khan (AKU-IED, EA) jana Jumatatu, Machi 17, 2025 ukiadhimisha…