
Mbaroni akituhumiwa kuiba mtoto wa siku moja
Kahama. Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia mkazi wa Kata ya Mwakitolyo, Sai Charles (38) kwa tuhuma za kuiba mtoto wa siku moja. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Februari 10, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Janeth Magomi amesema mtoto huyo aliibiwa Februari 5, 2025 nyumbani wakati mama yake akiwa anaoga. Magomi…