Mido ya boli awindwa Azam FC
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam Azam FC, wanaendelea na maboresho ya kikosi hicho kimya kimya kwa ajili ya msimu ujao ili kuleta ushindani, ambapo kwa sasa wameanza mazungumzo ya kuipata saini ya kiungo nyota wa KMC, Ahmed Bakari Pipino. Azam iliyomaliza katika nafasi ya tatu kwa pointi 63 katika Ligi Kuu Bara msimu…