MKURUGENZI GEITA DC AWASHUKIA WAZABUNI WANAOKWAMISHA MIRADI
Na Nasra Ismali, Geita Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Ndg Karia Magaro Novemba 18, 2024 ameongoza timu ya menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya Geita kukagua miradi ya maendeleo katika kata za Nyamigota, Ludete na Katoro zilipo jimbo la Busanda. Timu hiyo imetembelea na kukagua ujenzi wa shule ya amali iliyopo kata ya Nyamigota…