Aliyemuua mwanawe akitaka utajiri ahukumiwa kunyongwa
Iringa. Mahakama Kuu Kanda ya Iringa, imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Joseph Mhulila baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mtoto wake, Timotheo Mhulila (4), kinyume na vifungu namba 196 na 197 vya Sheria ya Kanuni ya Adhabu, Sura ya 16 ya mwaka 2022. Hukumu hiyo ilitolewa katika kesi ya jinai namba 25532/2025, Jamhuri dhidi…