
IRAN VS ISRAEL: Siku 13 za maangamizi na mtikisiko wa dunia
Zimekuwa ni siku 13 za mshikemshike mashariki ya mati baada ya mataifa ya Israel na Iran kushambuliana kwa makombora, vita ambayo imezihusisha nchi za Qatar na Marekani na kusababisha vifo na uharibifu wa mali. Juni 13, 2025, Israel ilianza kuishambulia Iran kwa makombora yake ikilenga vinu vya nyuklia na makamanda wa Jeshi la Iran ambao…