Panga pangua ya Samia | Mwananchi
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuimarisha safu yake ya utendaji kwa kufanya uteuzi viongozi na kupanga vituo vipya kwa balozi, hatua inayolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma pamoja na kuimarisha mahusiano ya kimataifa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 18,2025 na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, mabadiliko hayo yanagusa maeneo…