
Wadau Kenya wamlilia staa Harambee Stars aliyetua Simba
WADAU wa soka wa Kanda ya Pwani nchini Kenya wamezungumzia juu ya kiungo wa Harambee Stars, Mohamed Bajaber kuondoka katika kambi ya timu hiyo kwenda kujiunga na klabu yake mpya ya Simba ya Tanzania. Bajaber amesajiliwa na moja ya wababe wa Ligi Kuu Tanzania, Simba ambayo wakati huu iko Ismaili nchini Misri ambako imepiga kambi…