Ujenzi wa Flyover ni mwendelezo wa kukamilisha ahadi :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uzinduzi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) ni mwendelezo wa kukamilisha ahadi na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 ambayo imevuka malengo kwa mafaniko makubwa ya miradi ya maendeleo. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipoweka jiwe la…